Chat, Deti na Marafiki
Wapya Sasa

Jiunge na Nipenzi ili uweze kutangamana na marafiki wapya wanaopatikana sehemu unayoishi

Mamilioni ya marafiki
tayari kuwasiliana

Video Call na
Live Streaming

Chat ya nguvu na
yenye kuvutia

Tambulisha uwepo wako na feature kali

01

Kujiunga ni bure

App yetu haina vizuizi vyoyote. Chat na uweze kupata marafiki wapya bila kutumia pesa zozote.

02

Jenga profile yako

Tengeneza profile yako uweze kuwa tofauti na wengine. Onekana na mamilioni ya wanawake bila tatizo.

03

Furahia App ya Nipenzi

Nipenzi imehakikisha kuwa utafurahia kila dakika ukiitumia kuanzia kuvideo call, live streaming, notification na kadhalika.

Features ambazo zinaendana nawe

Nipenzi imetengenezwa kimtindo ambao unakufaa kwa matumizi ya kila siku. Nipenzi itakupa uwezo wa kuchagua yule ambaye unataka kuwasiliana naye ama unayetaka asikuone. Kila kitu kimeundwa kimpangilio.

Features zinazopatikana
kwa Nipenzi

Hizi ni baadhi ya features ambazo zinaparikana ndani ya Nipenzi, features zaidi utazipata pindi utakapodownload.

  • Tambua watu wanaoishi karibu yako.
  • Video calls, audio calls na live stream.
  • Kushufu ambapo unawaona wanawake ambao watakufaa.

Download app ya Nipenzi
sasa uweze kutangamana